NYEGE ZIKIKUPANDA UNAFANYAJE?
Nipo kwenye daladala, naitazama saa ni saa 6 mchana, siku ya jumamozi wiki iliyopita yaani juzi tu. Nimekosa kiti nawajibika kusimama. Tupo abiria kadhaa mbao tumesimama kiasi ambacho tumebanana kiasi ingawa siyo kama kupumuliana visogoni.
Kati ya waliosimama jirani
yangu ni kijana fulani kavaa suluwali aina ya jeans na shati jeusi,
kisha miguu kavaa sandozi rangi ya njano. Pembani yake yuko binti makamu
ya miaka 19 au 20, sote tupo kimya kila mmoja anawaza lake.
Lakini
kadiri tunavyokwenda namuona kijana anamsogelea sana yule binti,
anambana kupita kiasi hadi najiuliza kulikoni huyu njemba? Najifanya
sioni sana ila nazidisha kujihoji inakuwaje hapao, nini kinachoendelea.
Kumbe yule kijana anambana yule binti huku uume umesisisimka jamani,
anaHAMU huyooooo, kambana binti wa watu kana kwamba hakuna nafais
nyingine. Kinachonifanya nigundue ni kwamba mara nyingi alikuwa
akiingiza mkono kwenye suluwali yakee yaani pale penye uzima wake wa
kunogeshea mambo. Naona anatengeneza kuelekea kwa yule binti, najiuliza
kulikoni hapa?
Naona kuna mzee fulani kagundua ule
mchezo, pia hata binti akagundua kuwa TAKO lake linaguswa na kitu
kigumu ingawaje ni KITAMU. Sasa yule kijana anaongeza midadai bila
kufahamu tuliopo pembeni tunaona harara zake, anajikita zaidi katika
tako la yule binti, anatetemeka kiasi, mara anazidisha hali hiyo huku
akisahau yuko kwenye gari la umma. Kimsingi nashindwa kuvumilia naamua
kucheka, naona jirani yangu fulani kagundua kitu kwanini nacheka
kishkaji...maana hata mhusika alibaini hilo. laiti angelijua kuwa
nilikuwa nacheka kumnusuru kabla hajakutwa na zahma...nikaona bora
niendelee kunyamaza tu huku nikicheka kibingwa.
Jamaa
hana soni, ndani ya basi abiria wamepungua, kuna nafasi ambayo
angeliweza kutengana na yule binti...lakini haachi jamani duh! Naona
kuna siti iko tupu naamua kuisogelea, ndipo jamaa mmoja ananiuliza
inakuwaje mwana mbona kicheko muda mrefu sana, namshitua cheki kazi hapo
mbele.....alaaha kuja kuangalia hali imekuwa hivyo hadi binti kagundua
jamaa akaelekeza kichungulia uvunguni katika TAKO lake. Na kilichomwokoa
binti ni kwamba kuna jamaa alishuka kituo fulani kwahiyo akapata upenyo
akajichopoa haraka toka kiunoni mwa mshikaji.
Ikabidi
nijiulize hivi wanawake waliopo na wamejazana kama magazeti duniani
hawaoni? Nikajiuliza inakuwaje aisake aibu yote hii? Je kama wewe
msomaji unapokuwa na NYEGE unafanyaje? Au unaparamia kama huyu jamaa? Ni
rahisi tu mbona kuna midada ipo inauza uvungu kwa sh. 300/=? Usibishe
msomaji nimechunguza haya mambo?
Najiuliza ni
kweli hana buku akijipatie uvungu japo kupunguza TUI LA NAZI? nadhani
nilichanganyikiwa mimi labda na mwenzangu akawa anajipa starehe......
najiuliza sipati jibu!
No comments:
Post a Comment